Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Bila shaka ni fangasi za ukeMwanamke anayetoa huo uchafu ni mgonjwa kwa sababu mwanamke akiwa hana ugonjwa wowote hawezi kutoa uchafu huo. Nakushauri mpeleke hospitali akatibiwe. Mimi ni mwanamke nimekujibu kutokana na uzoefu
Uke unajisafisha ninyi acheni ushamba huo.Bila shaka ni fangasi za uke
Km mwehuDaaaaah naahukuru sana mkuu nilikua sijui kumbe Zikiwa nyingi ndo vizur ..demu anakua siyo malaya
Mbona papo hapo ni kiswahili fasaha kabisa mkuu,au we umeelewaje?Papo ndio nini ????[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawewe hujui kusoma na hata kuandika kama mfanyabiashara Muddy mba*kaji wa mtoto Aisha alivyokiri kutojua kusoma na kuandika???
Tuanzie hapo.
Yes ndugu, hizo ni fangasi za ukeBila shaka ni fangasi za uke
Hapana ndugu kujisafisha kwa uke ni tofauti na snerio ya mtoa mada, kujisafisha kwa uke ikiwa huna maambukizi huwezi sababisha mwanaume abaki na ukoko baada ya tendo. Hivyo ni vitu viwili tofautiUke unajisafisha ninyi acheni ushamba huo.
Nimekuelewa mkuu upo sahihi kbsa. Demu ambae apigwi mashini kwa wingi lazima awe naoHuo huwa ni ' Ukoko ' wa ' Mbunyeni ' Mkuu na tena kwa kukusaidia tu kama huwa unauona kwa huyo Demu wako au hao Mademu zako basi yakupasa siyo uone ' Kinyaa ' au ' ulalame / ulaumu ' bali unatakiwa ufurahi kwani kwa Sisi ' Wazoefu ' na tulisoma vizuri ' Topiki ' moja ya Somo la Biology ya ' Reproduction ' ukiona hivyo ni tafsiri tosha kuwa huyo ' Mwenza ' wako siyo mtokaji / mchapwaji ( namaanisha anangonoliwa / anafanywa / anabaiolojiwa ) sana. Huo ' Ukoko ' kamwe huuwezi Kuukuta kwa Mademu wengine ( Malaya / Vicheche / Wasiotulia ) sana sana huko kwa hao Mademu utakaribishwa tu na Mipori ya Tengefu na Ihefu iliyokomaa na inayokata ( namaanisha Mavuzi / Unywele ) ambayo ukifanya masihara unaweza ukakuta hata ' Mkuyengeni ' Kwako kuna mikato mikato mingi inayotoa damu utadhani Mganga wa Kienyeji ' anakutengeneza ' Kiutamaduni / Kiushirikina.