Vitu vyeupe kwenye uke, huwa inasababishwa na nini

Vitu vyeupe kwenye uke, huwa inasababishwa na nini

Mwanamke anayetoa huo uchafu ni mgonjwa kwa sababu mwanamke akiwa hana ugonjwa wowote hawezi kutoa uchafu huo. Nakushauri mpeleke hospitali akatibiwe. Mimi ni mwanamke nimekujibu kutokana na uzoefu
Bila shaka ni fangasi za uke
 
Papo ndio nini ????[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nawewe hujui kusoma na hata kuandika kama mfanyabiashara Muddy mba*kaji wa mtoto Aisha alivyokiri kutojua kusoma na kuandika???

Tuanzie hapo.
Mbona papo hapo ni kiswahili fasaha kabisa mkuu,au we umeelewaje?
 
Huo huwa ni ' Ukoko ' wa ' Mbunyeni ' Mkuu na tena kwa kukusaidia tu kama huwa unauona kwa huyo Demu wako au hao Mademu zako basi yakupasa siyo uone ' Kinyaa ' au ' ulalame / ulaumu ' bali unatakiwa ufurahi kwani kwa Sisi ' Wazoefu ' na tulisoma vizuri ' Topiki ' moja ya Somo la Biology ya ' Reproduction ' ukiona hivyo ni tafsiri tosha kuwa huyo ' Mwenza ' wako siyo mtokaji / mchapwaji ( namaanisha anangonoliwa / anafanywa / anabaiolojiwa ) sana. Huo ' Ukoko ' kamwe huuwezi Kuukuta kwa Mademu wengine ( Malaya / Vicheche / Wasiotulia ) sana sana huko kwa hao Mademu utakaribishwa tu na Mipori ya Tengefu na Ihefu iliyokomaa na inayokata ( namaanisha Mavuzi / Unywele ) ambayo ukifanya masihara unaweza ukakuta hata ' Mkuyengeni ' Kwako kuna mikato mikato mingi inayotoa damu utadhani Mganga wa Kienyeji ' anakutengeneza ' Kiutamaduni / Kiushirikina.
Nimekuelewa mkuu upo sahihi kbsa. Demu ambae apigwi mashini kwa wingi lazima awe nao
 
fangasi za uke ndiyo huwa kisababishi kikubwa cha kutoka ute mweupe kwa wanawake. Fangasi kwa wanawake ni ugonjwa wa kawaida na huwapata wengi na hauhusiani na umalaya au kugongwa sana.
 
Back
Top Bottom