Vitu walivyoshuhudia makachero wa Uajemi kwenye kambi za Ugiriki.

Vitu walivyoshuhudia makachero wa Uajemi kwenye kambi za Ugiriki.

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi.

Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi, ilikuwa hivi siku moja kabla ya mtanange majenerali wa Uajemi ( Iran ya sasa) wakatuma makachero wakachungulie Waigiriki wanajiandaaje juu ya kesho. Wale makachero walikuta wanajeshi Wagiriki wanazagamuana haina mfano! Yaani karibia kila hema walilopiga chabo walikuta jamaa wanakulana! Wakastaajabu sana. Walirudi na wakatoa report yao kuwa hamna jeshi wote mlenda mlenda ushindi kesho mapema kabisa.

Jambo ambalo uajemi hawakujua ni kwamba kikosi walichoshuhudia ( band of Thebes) ni moja ya vikosi vilivyokuwa noma na nusu kwa sababu kilikuwa kimeundwa wanajeshi mlengo wa mapenzi jinsia moja. Yaani endapo ukamuua mmoja wapo vitani unapaswa ujue umeuwa mke au mme wa mtuu sasa ilo balaa la mwezaa... ni hatarii usiombe. Kufupisha tuu uajemi io keshoo walitandikwaaa mpaka leo huwa wanakumbuka kwenye hadithi zao.

Nimeona nishee ili kuwaandaa kisaikolojia wale wanaoponda mashoga wa Israel kwamba hawawezi mziki wa vita. Ivi kwa akili ya kawaida unafikiri basha atakubali umuuwe kizembe mke wake kwenye uwanja wa mapambano.

images (1) (11).jpeg
 
Wazayuni wanatakiwa wafutwe ili ufiranaji na usagaji usiendelee kupigiwa chapuo na hao wasenge nawasagaji
Haya na huko zanzibar kuna Wazayuni?? Magomeni je?? Ilala???.............hapa jibu ni moja tu kataa Arabic.........maaana hawa watu kufirana ni sehemu ya tamaduni yao walikuja nayo na sasa wameiasembo kwenye jamii za kiafrika ...............na jamii nyingine ukisikia wanataka Sharia jua tu na kuingiliwa na kuingilia pia kumo.............jingazi sana hawa
 
Nikikwambia huna akili utasema nakutukana huko ulipo kutaja nitajie sehemu moja wapo ambayo siri kali imehalalisha watu kufirana au kusagana kama huko kwa hao washenzi
 
Back
Top Bottom