[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Nlitaka kumuweka *Mugabe* profile picture ila nikakumbuka badae nikitaka kumtoa atakataa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]*
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani tupo humu kama marafiki ambao lengo ni kuleta umoja kati yetu, ila tusileteane mazoea ya kijinga kwa kuwa wote tuko Fb, kitu kama hukijui ni vyema uulize sio kuropoka na kujiamulia huku ukiwakwaza wengine, aliyempa namba yangu Robert Mugabe bila ruhusa yangu ni nani????au nia yenu mnigombanishe na Jeshi la Zimbabwe??? Ebu acheni hizo bana!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 636900