Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
after mbona hujaweka
Subiri ako kwa saluni
na ww ni type ya akina miss natafuta kumbe, ushanipa kukuogopa nilipaga bum likiingia tukalitumbue wawili ila utanifilisi ww semister nzima niabze shindia maji na mihigoHahahahahahahaView attachment 785752
Mausafiri adim sana hayo
Mzee alikua anajua kumwaga speech
Huyu mama hajajua kama kuna wazazi baadhi hata hicho chumba kimoja wanasaidiwa kulipa kodi.
Hilo hata serikali hailiwezi. Usicheze na mipango ya waafrika
Jamani mpakeni wanja huyo ajuza