Jamani wadau vijanana wetu wa kibongo wameamua kujiunga na vyama vya kutetea mashoga
uko Uk London eti na kulaani serikali ya Tanzania na Africa kwa ujumla kwa kuwanyanyasa mashoga kwamba wapewe haki zao na waachwe kushutumiwa
Washenzi kabisa,sa si wangevaa madela kabisa tujue moja!!Hakuna ujinga mzito duniani kama mtoto wa kiume kutamani uanamke wakati wanawake wenyewe wanapigania kuwa sawa na wanaume