VITUKO JAMANI

VITUKO JAMANI

Said Mwamboko

New Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Jamani wadau vijanana wetu wa kibongo wameamua kujiunga na vyama vya kutetea mashoga
uko Uk London eti na kulaani serikali ya Tanzania na Africa kwa ujumla kwa kuwanyanyasa mashoga kwamba wapewe haki zao na waachwe kushutumiwa
prtion.jpg
 
Washenzi kabisa,sa si wangevaa madela kabisa tujue moja!!Hakuna ujinga mzito duniani kama mtoto wa kiume kutamani uanamke wakati wanawake wenyewe wanapigania kuwa sawa na wanaume
 
hahahahahaha! dunia hii ya ajabu sana. wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume halafu wanaume wenyewe hawataki, wanataka wageuzwe wawe wanawake! aisee!
 
Mbona sioni mwenye kujiita mTz hapo??, au umeamua tu kuichafua Tz mleta uzi!!!?
 
Mbona sasa wanasura ngumu..! Pole yao wanao watafuna..! GOD HAVE MERCY ON US...!
 
Back
Top Bottom