puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...
Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]
Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app