Vituko, kero na changamoto za club

Vituko, kero na changamoto za club

Kuna club moja nilienda songea nikacheza mziki vyakutosha nikachoka nikapanda juu kukaa kwenye makoch mara gafla jamaa kaja na dem wanacheza cheza pale kuja kuangalia heee wanatombana nikasogeza mkono nikamshika dem shanga wala hakustruka wakaendelea kutiana ila nikawa nimemsikitikia jamaa maana yule dem ni malaya alafu jamaa hakula na ndom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh! Htr tupu

Ngenye zikizidi...akilia haifanyi kazi kabisa[emoji25][emoji26][emoji31][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hio feeling huwa amazing sana, chupa zikishakaa mahali pake af unaona maua yamekuzunguka tu. Unagusa huyu unaacha mara huyu anakudekea mara vile hahah! Unazungusha round tu!
Huyo jamaa aliotaka kurusha ngumi fala tu! Anataka kuleta utemi wa kishamba wa kupigania mademu Club! Kama alijua anahitaji coy ya manzi angechukuana na mmoja akampanga mapema tu akaanza kulipia bills. Huo ndio utaratibu unaoeleweka sio kupora demu wa mtu kitemi!
eti anahitaji coy ya manzi kwahyo platoon moja mbele ya pili kushoto na ya Tatu kulia!?
 
Mzuka umepandaa umepata na demu wa kubambia unamsikia dj anasema tunapiga nyimbo mbili za mwisho....

Unapoenda na demu wako alafu unakutana na mademu wakali kuzid wako alafu wanakata balaa..hapo unatamani umgawe demu wako kwa mkopo....

Umepiga pamba kali alafu kumbe ndani ukakutana na jamaa kamawanne wamevaa kama ww mkajikuta mmeunda timu yenu...

Maraaa paaa mkanda wa saa umekatika na saa imedondoka katkat ya watoto wa mbwa au miwani imejiachia chini dkdk sifur nyingi unakutana na hamna...

Pale unaagiza maji yakunywa umetoa elfu 5 unarudishiwa 2500...

Upo bize na kuruka mangoma ile unaangalia simu unakutana na sms inasema... Kesho usipolipa kodi ya nyumba utafute pa Kwenda namfukoni huna kitu... Au sms inasema nipo kaunta ya juu mm ashura msambwanda naomba uninunulie castle lite moja na ww umebaki na nauli tyu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaha wew jamaa wewe, uko juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo sasa kuna umri ukifika utajikuta unaishia tu Pub kupiga stori chache na washikaji halafu saa tatu au nne unakuwa ushaondoka maana ukizidisha hapo simu ntakazopigiwa siyo za dunia hii.

Hahahaah dah kweli hata mimi nishafika umri huo, ikizidi saa nne hehehe uko wapi wew? Sema uliko nikufate...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom