puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
- Thread starter
- #61
Unampa tension...kuja kusikia za kitu chenyewe Ni ujinga mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampa tension...kuja kusikia za kitu chenyewe Ni ujinga mtupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo sifa ni zangu kabisa.Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Htr tupuKuna club moja nilienda songea nikacheza mziki vyakutosha nikachoka nikapanda juu kukaa kwenye makoch mara gafla jamaa kaja na dem wanacheza cheza pale kuja kuangalia heee wanatombana nikasogeza mkono nikamshika dem shanga wala hakustruka wakaendelea kutiana ila nikawa nimemsikitikia jamaa maana yule dem ni malaya alafu jamaa hakula na ndom
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngenye zikizidi...akilia haifanyi kazi kabisa[emoji25][emoji26][emoji31][emoji23]Kuna club moja nilienda songea nikacheza mziki vyakutosha nikachoka nikapanda juu kukaa kwenye makoch mara gafla jamaa kaja na dem wanacheza cheza pale kuja kuangalia heee wanatombana nikasogeza mkono nikamshika dem shanga wala hakustruka wakaendelea kutiana ila nikawa nimemsikitikia jamaa maana yule dem ni malaya alafu jamaa hakula na ndom
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah.... mashalaaah me huwa naangalia then namezea na bia yangu tuUle upuuzi unapita mwanaume anakuuliza dada yote haya yako?
Kuna mmoja nilimjibu hapana nimembebea na mama ako. Alimind nusu anipasue
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahah.... mashalaaah me huwa naangalia then namezea na bia yangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah.... mimi huwa sina shali naangalia tu then napiga fundo moja la kupongeza ufundi wa mungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli...ni zaidi ya mkosi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maniner!
Ingekua mimi ndio masai, kesho yake ingekua zamu yangu kupigwa na mabaunsa. Ningerudi nimejikoki kama baba ubaya!
- KANA -
Haaaa...sasa hutaki minara yetu ipande?[emoji23]Tatizo wengine mkikatiwa kidogo tu mnara unapanda. Mwenyewe napenda kukatikiana na mashoga zangu naenjoy haswa...
Wala hata sinalo kubwa basi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mwanaume yanamtoka hayo maneno?[emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamezea na bia kabisa sio??hahahah.... mimi huwa sina shali naangalia tu then napiga fundo moja la kupongeza ufundi wa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmezidi sasa kukatikiwa kidogo tu mnasimama dede jamaniHaaaa...sasa hutaki minara yetu ipande?[emoji23]
Kama ni mwanaume kamili lazima isimame tu
eti anahitaji coy ya manzi kwahyo platoon moja mbele ya pili kushoto na ya Tatu kulia!?Hahaha hio feeling huwa amazing sana, chupa zikishakaa mahali pake af unaona maua yamekuzunguka tu. Unagusa huyu unaacha mara huyu anakudekea mara vile hahah! Unazungusha round tu!
Huyo jamaa aliotaka kurusha ngumi fala tu! Anataka kuleta utemi wa kishamba wa kupigania mademu Club! Kama alijua anahitaji coy ya manzi angechukuana na mmoja akampanga mapema tu akaanza kulipia bills. Huo ndio utaratibu unaoeleweka sio kupora demu wa mtu kitemi!
Hahah bonge moja la feeling, PIMP mode all the way up!eti anahitaji coy ya manzi kwahyo platoon moja mbele ya pili kushoto na ya Tatu kulia!?
Bila marafiki nisingekanyaga club.
Naishia kulala tu kwenye makochi.
Wakitaka kuondoka wananiamsha tunasepa.
Sipendi kelele, sina hobby ya mziki na sinywi pombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzuka umepandaa umepata na demu wa kubambia unamsikia dj anasema tunapiga nyimbo mbili za mwisho....
Unapoenda na demu wako alafu unakutana na mademu wakali kuzid wako alafu wanakata balaa..hapo unatamani umgawe demu wako kwa mkopo....
Umepiga pamba kali alafu kumbe ndani ukakutana na jamaa kamawanne wamevaa kama ww mkajikuta mmeunda timu yenu...
Maraaa paaa mkanda wa saa umekatika na saa imedondoka katkat ya watoto wa mbwa au miwani imejiachia chini dkdk sifur nyingi unakutana na hamna...
Pale unaagiza maji yakunywa umetoa elfu 5 unarudishiwa 2500...
Upo bize na kuruka mangoma ile unaangalia simu unakutana na sms inasema... Kesho usipolipa kodi ya nyumba utafute pa Kwenda namfukoni huna kitu... Au sms inasema nipo kaunta ya juu mm ashura msambwanda naomba uninunulie castle lite moja na ww umebaki na nauli tyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sasa kuna umri ukifika utajikuta unaishia tu Pub kupiga stori chache na washikaji halafu saa tatu au nne unakuwa ushaondoka maana ukizidisha hapo simu ntakazopigiwa siyo za dunia hii.