Vituko, kero na changamoto za club

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)[emoji85][emoji85][emoji85]..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo ndio utajua unanyota ya punda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...

Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unatamani kwenda kuzidai counter[emoji38][emoji38][emoji848]

Hebu nipeni vituko vingine wadau...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo umekaa counter mtu anakuja kukuomba umnunulie kinywaji unajiuliza kaja fanya nini na karipia kabisa kiingilio au mtu anakuja kukuuliza sasa hivi sangapi?

mpuuzi mpuuzi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watanzania Ni kwikwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu yoyote ile yenye changanyikeni lazima ukute mambo kama hayo, na kiukweli yana raha yake kwasababu yanakupa mtazamo mwingine kabisa wa maisha na unajifunza mengi.

Zile sehemu za gharama hazina vituko kama hivi, maana mtazungumzia tu kazi, biashara na siasa. Changanyikeni kuna raha yake tu, be it a pub, restaurant or a night club.
 
Kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wengine mkikatiwa kidogo tu mnara unapanda. Mwenyewe napenda kukatikiana na mashoga zangu naenjoy haswa...
Wala hata sinalo kubwa basi tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe inakukutaga hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake....wabinafsi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…