Vituko kwenye mahusiano

Vituko kwenye mahusiano

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
IMG_2150.jpg

Hakuna ugomvi wowote mpenzi wako anakutumia ujumbe kama huo. Upepo wa december mtu anahitaji likizo [emoji23][emoji23] nmecheka sana hiki ni kituko cha aina yake kwenye mahusiano.
Share kituko ambacho umewahi kukutana nacho kwenye mahusiano badala ya kuhuzunika ukacheka.
 
hahahah...ukubwa kazi aisee...hahah
 
mwambie ajaze form umpe tuu hiyo likizo
 
Wenye mahusiano mkuje huku, mnaitwa hataka San.
 
Mwambie umempa hiyo likizo,
Ila ni likizo ya kuretire, akirudi arudi na madai ya mafao yake, kwa sababu atakuwa ameshakuwa replaced.
 
Mwambie umempa hiyo likizo,
Ila ni likizo ya kuretire, akirudi arudi na madai ya mafao yake, kwa sababu atakuwa ameshakuwa replaced.

Hahaha ameanza kupiga simu [emoji23][emoji23] naona anajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Huyo My wako kila siku anaomba kupigiwa kudadeki mwambie umempa likizo isiyo na malipo miaka 2 akajifunze upya
 
Huyo My wako kila siku anaomba kupigiwa kudadeki mwambie umempa likizo isiyo na malipo miaka 2 akajifunze upya
akikupigia ujue kuna tatzo au ugomvi vinginevyo utaona tu sms kama hivyo my nipigie.

Hi yo kali bt msimu huu wa sikukuu anakua kanipunguzia mzigo jamani daah
uyu nmempiga chini jumla hafai

😀[emoji28]

Kuna mambo yanafurahisha sana...




Cc: mahondaw

[emoji16][emoji16] kuna mda inabidi tu ufurahi
 
Back
Top Bottom