Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Ahhahahahaha umenichekesha sana kwanza nakushukuru kwa msaada mkubwa wa kunijali kuanzia mwanzo mpaka mwisho na nimesimama na kuwa Demiss mpya sijui nikupe zawadi gani?
Kushukuru na kusema Asante Ni zawadi kubwa sana,tena ni zawadi ile inayoingia moja kwa moja Rohoni.

Hiyo tu yatosha sihitaji Nyingine. .
 
Naona umekaba kila kona
Juzi kwenye uzi wa operesheni aliouleta Zero IQ nilikuambia utaona manyoya bahati yako rada imekwama sehemu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweliiii kidogooo rada zikose nguvu hasaaa jana
 
Naona umekaba kila kona
Juzi kwenye uzi wa operesheni aliouleta Zero IQ nilikuambia utaona manyoya bahati yako rada imekwama sehemu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Umetumia Rada ya Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…