Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hahaha ungeendelea kukaa kmya ningeanzisha uzi[emoji23] [emoji23]Niliwamiss mpaka nimekonda unajua jf ni kama utejaaaa
Namuona mr leo anazunguka kila kona ya uzi hataki mchezo.Waooooooh asanteeeeww
Sikujua kama ina uwezo mdogo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umetumia Rada ya Mkapa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sikujua kama ina uwezo mdogo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umekaba kila kona
Juzi kwenye uzi wa operesheni aliouleta Zero IQ nilikuambia utaona manyoya bahati yako rada imekwama sehemu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahhaa loooh kweli nyota ya UfisadiMlishaanza kupata akili za kupiga dili mapema, ile ilikuwa nyota ya ufisadi ukaamua kuizima.
[emoji2] La si hivyo leo hii ungekuwa na majengo mengi, maana wenye damu hiyo huambatana na siasa
Ndo maana yake, nyota njema huonekana asubuhiHahahahahhaa loooh kweli nyota ya Ufisadi
Inaanzia toka kitambo ukiwa unadokoa nyama za kuchemsha
Hahahahahah mkaamua kumkomesha kwa sababu hampendi somo la mzikiNiliwahi kuiba kitabu cha muziki cha mwalimu wa nidhamu, alikuwa ndo mwalimu mkali shule nzima na ndiye alikuwa anafundisha muziki shule nzima.
Hiko kitabu alikuwa anakisifu kila mara anasema alipewa na Mwingereza, somo tulikuwa hatulipendi balaa.
Tukaweka mipango, ikabidi nichaguliwe kuwa monitor wa muda, nikawa kila Mara napeleka madaftari naweka madaftari mezani kwake ananiambia toaaa uchafu huo.
Siku ya siku kitabu kiko mezani, kama kawaida nikaweka madaftari mezani kwake halafu juu ya kile kitabu, alivyosema toaaa, nikatoa fasta na kile kitabu chake. Baadae kabla mwalimu husika hajaanza kusahihisha nikafata madaftari na kitabu.
Mwalimu alitangaza dau la shilingi elfu 8,000 ambayo ilikuwa ni ada ya term moja kwa sisi wa day kipindi hilo.
Nilimrudishia kitabu nikiwa nimemaliza form 4 na matokeo yakiwa tayari, akanipa 10,000 ya asante.
Ila pole kwa kupotea kama mimi, JF App iliniletea kizunguzunguHahahahahhaa loooh kweli nyota ya Ufisadi
Inaanzia toka kitambo ukiwa unadokoa nyama za kuchemsha