Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanateseka sana kisa tu kumfurahisha mwanamke
Hata ajaribu na kujifanyisha vipi lakini hakuna mapenzi ya kweli kwa mtu mwenye body count kubwa. This is backed up by years of research published in reputable psychological journals.
Ni ujinga tu.Watu wanateseka sana kisa tu kumfurahisha mwanamke
Ndiyo shida yetu Waafrika. Sababu ya ubinafsi watu wengi hufa na ujuzi na maarifa yao. Angekuwa mzungu hapo tayari keshachukua patent kafungua kampuni lake la kutengeneza radi anapiga hela 😂View attachment 3097746
Very sad kwa kweli