Naunga mkno hoja
=
CHADEMA kanda ya Pwani tutamchagua Boniface Jacob kuwa Mwenyekiti akiwa gerezaniau akiwa uraiani. Kanda hii ya kimkakati ndani ya chama chetu inahitaji huduma ya Boniface Jacob kwa ustawi wa chama na kuelekea chaguzi za Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.