Aje tumfundishe namna chapati zinavyoliwa.
Natamani niseme neno hapa, lakini kwa nanma jua lilivyo kali hivi acha nipite tuπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Kumbe pamoja ngumi zake zote zile kali kali jamaa analiwa kiboga!!!ππππ€Lennox Lewis - mmojawapo wa mabondia bora kabisa wa uzito wa juu alishajitokeza na kusema kuwa yeye alishaleft group kitambo; na hivyo haishangazi kuwa kwenye hizi party za Diddy.
View attachment 3109407