Vituko mitandaoni. Tupia chako

69808010-f0b4-40d6-9816-a83ae8489b89.jpeg
 
👊Wanaume walikuwa kwenye semina, wakaulizwa.

"Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ilikuwa ni lini"?

Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.

Muwezeshaji akawaambia : kila mmoja sasa hivi amuandikie sms mkewe na kumtumia akimwambia kuwa : "nakupenda sana mke wangu".

Baada ya muda akakusanya simu zote na kuanza kusoma majibu ya meseji hizo.

Majibu yalikuwa hv :

1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. ??!! Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani.
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10.Nakupenda sana pia Mume Wangu
11. Nani mwenzangu?
 
20241011_200119.jpg
 
Back
Top Bottom