Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kuna marubani 11 tu duniani wanaoruhusiwa kutua na kuruka kutoka katika huu uwanja. Umezungukwa na milima na ukikosea kidogo tu mnajibamiza. Kutua ni hatari zaidi maana runway ni fupi sana na uki-abort unaishia milimani.....