😍😍😍 Ah huyu Sasa ata nusu ya mali unamuachia mkiachana bila kinyongoooo
 
Kuna marubani 11 tu duniani wanaoruhusiwa kutua na kuruka kutoka katika huu uwanja. Umezungukwa na milima na ukikosea kidogo tu mnajibamiza. Kutua ni hatari zaidi maana runway ni fupi sana na uki-abort unaishia milimani.....

View attachment 3137865
Upo wapi huo uwanja wanipe mie ndege waone navyopaisha chuma hewani bila matatizo yoyote. Wee nafasi yoteee hiyoooo ukagonge mlima basi utakuwa umenunua leseni ya urubani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…