Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona huyu jamaa hapo juu mpaka umemwanzishia uzi. Ana umuhimu gani kiroho na kwingineko?
MKuu hii oicha unatoa mitandaoni au ni mfugo wako?
Nilifikiri ni chawa niseme kuwa hili ni godoro la mama kumbe hawa ni kunguni. Muziki wao si wa kitoto. Unaamka mbavu za motoo na mgongo wote umeumuka. Wakati huo wao wapo tu wameuchuna wanasubiria usiku uingie waingie mzigoni. Dunia!