Nilifikiri ni chawa niseme kuwa hili ni godoro la mama kumbe hawa ni kunguni. Muziki wao si wa kitoto. Unaamka mbavu za motoo na mgongo wote umeumuka. Wakati huo wao wapo tu wameuchuna wanasubiria usiku uingie waingie mzigoni. Dunia!
Nilifikiri ni chawa niseme kuwa hili ni godoro la mama kumbe hawa ni kunguni.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…