Ulikosea.
Tunaposema usipende sana pesa ni kujiepusha na mizinga isiyo ya lazima.
Utakuta mwanamke ana vyanzo vyake vya pesa lakini kwa mizinga hakamatiki.
Lakini kama umepewa pokea
 
Watoto 14 wa shule ya msingi IZINGA iliyoko Nkasi kusini ambao wazazi wao ni WANACHAMA wa CHADEMA wamefukuzwa shule na
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ndg REGIUS KAWIMBE kwa kosa la wazazi wao kuiunga mkono CHADEMA katika UCHAGUZI wa VIJIJI na VITONGOJI.
#WaziriMkenda .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…