Vituko mitandaoni. Tupia chako
IMG-20241204-WA0061.jpg
 
Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuni😋😋😣
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.
 

View: https://youtube.com/shorts/rBtSnJYaXeE?si=l8HOXkOYB4wx5g1Y

Raha ya Sebene ukibebwa namna hiyo usikilizie kichwa kinavyogonga tumboni....😜.

Na saa ya kumshusha kutoka kichwani upate mirindimo ya nyamanyama zake mikononi mwako...🤪🤪

Na wakati umebebwa uipeperushe bendera vizuri hewani ukishikilie kichwa vizuri usijeanguka....😋

Muda wote wa Sebene, stamina na balance ni muhimu ili mmalize pamoja 😉.

Msiseme nimeongea tango tata, nimedadavua hiyo video hapo juu 😁.

Na ukiwa unapenda sana kucheza hizo sebene, katu hamuwezi kuwa na kitambi....😀.

Pia zingatia kushikilia miguu yake ili uweze kunesanesa vizuri...😛😛... raha ndani ya rohoo 😆.
 
Back
Top Bottom