Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio miguuni??
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuni😋😋😣
Ukishikwa shikamana! 😄🏃🏿♂
Vimbaumbau kwa roho mbaya dah!
Kama siyo Msukuma basi hakuna kesi hapo! 😬