Watakaofuata watafanya zaidi.
Maana mazingira yote yameboreshwa.
Uwekezaji, Ukusanyaji kodi TRA, Barabara zimeshajengwa za kutosha.
Kwakifupi changamoto zimeshapungua hivyo lazima uwape watu wako maji safi, shule nzuri, huduma za afya nk.
Tunamuomba rais ahimize utekelezaji wa bima ya afya kwa wote ili kila mtanzania apate bima ya afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…