Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu utani si mzuri ndugu yangu, si ulisema utaacha?View attachment 3182882
Picga za Christmas zimeshaanza kuvuja. Hapa ni mshamba_mwingine na min -me baada ya kuzidiwa na pilau ya Christmas
Kanuni za Fizikia hapa huwa zinakwama maana huyu mwamba ana uwezo wa kusukuma mzigo wenye uzito unaomzidi tena hata kilimani ikibidi!
Lugha ya kwetu kanda ya Pwani anaitwa BimbilisamaviKatika Kisukuma huwa tunamuita Gīpilingityamashi
Msala huo.🙄🙄
Hakuna dini hapo.
Hiki nacho ni kituko
Pre GE2025 - Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul
Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake. Pia soma: Pre...www.jamiiforums.com
Watakaofuata watafanya zaidi.
Wanaolalamika ni mashabiki wa Yanga.