Twende hapo kwenye kilometa 50
Unajua ni nini ilisababisha ikaitwa Uvinza au chumvini? πππΏββοΈ
kuna salt nyingi na utelezi au?Unajua ni nini ilisababisha ikaitwa Uvinza au chumvini? πππΏββοΈ
π ngoja wakuje
Tumepotoka tunaomba radhi lakini hata huko siasani kuna vituko pia! Tutajitahidi tufuate ushauri asante sanaππΎMnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics