Vituko mitandaoni. Tupia chako
IMG_20241229_205749.jpg
 
Mnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics
Tumepotoka tunaomba radhi lakini hata huko siasani kuna vituko pia! Tutajitahidi tufuate ushauri asante sana🙏🏾
 
Back
Top Bottom