π¨Mwamba Huyu Hapa πππ
β‘οΈMchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu
β‘οΈBinti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa
β‘οΈMwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo πππ.
View attachment 3213216