Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwamba Trump keshaliona hili. Safi sana!🚨Mwamba Huyu Hapa 😀😀😀
➡️Mchumba wa staa wa Nigeria na klabu ya Bayerlevakusen ya Ujerumani Victor Boniface ameamua kuvunja uhusiano na staa huyo baada ya kubaini kwenye mali zake zote ameandika majina ya mama yake mzazi tu
➡️Binti huyo raia wa Norway amechukua uamuzi huo huku wakiwa tayari wamedet kwa miaka minne, katika harakati za kujaribu kufunga ndoa ndio akabaini suala hilo na kuamua kujitoa
➡️Mwamba kaamua kutekeleza ilani kwa vitendo 😁😁😁.View attachment 3213216