Nafanya japo sio kwa 100%

Nafanya photographer
Nachora
Nafanya Sanaa za za mabox
Fundi vifaa vya electronics
Software za simu na
Hardware

Hivi vyote nimefanya na baadhi ndo paka Sasa vinaniweka mjini

Ndoto zangu.

Nimiliki camera kubwa ya kuanzia m1 napenda sana kupiga picha

Kwanini camera kubwa kwasababu naamini camera itabaki kuwa na thamani siku zote kwenye kupiga picha na naamini naweza kuifanya ikawa inaniingizia kipato.
 
Kuna mada humuhumu ya IQ,Wewe unayokubwa , hongera sana!
 
Ngoja nikwambie namba 1, wewe hujui kupiga picha, pili hapo kwenye mabox yako bado sana kiwango cha kuanza kututambia humu.
Cheki hizo camera angles hiyo art ilipochukuliwa, siku ukifika hii level hata salama hutatusalimia ewe LASABA C.
 
Shida inaanzia kwenye kichwa cha uzi!, darasa lako la saba tu tayari unatusimanga haya ukipata hiyo kamera ya million moja si ndo utatukoa makwenzi wewe...?!!
Amedhihirisha kweli ni la saba na ni mjinga.

Anasema anafanya vitu vilivyo juu ya elimu yangu kwani anajua mimi kwa elimu yangu nimefanya kitu gani?

Kwa tabia ya kujisifia kijinga na kudharau wengine anaweza asifike mbali.
 
Hizo nyumba za mabox kuna watu wananunua?
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…