Hao ndio nawapenda sasa....nipe assist nikafunge kama rodrigo wa madrid janaMnyamwezi huyo, utawezana naye..???!π π π
Hawanaga mapumziko hao kikilia kipenga ni hadi half time na hakuna kuomba maji eeheheheheee ππππ.
Hana mambo mengi, utulize mpira tuu chenga kiasi, danadana kwa mbali, achia mashuti ya kutosha baada ya miezi tisa utakuwa na pacha 4 π π π . Jiandae dakika 90 na za nyongeza, penalti huwa haifiki hawanaga ushindani....π€Έπ€Έπ€Έππππ.
Nawe ume admire nyashhh π€£π€£π€£π€£