MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
In the beginning, Man created God in his mind. All other things attributed to creation followed after that.
Haya maneno unayasikia baada ya maisha kumpiga, angekuwa ametoboa huyu asingelalamika😁
Mtaani kulikuwa na mzee mmoja mcheshi sana, alikuwa anasema kuishi na mwanamke inabidi ukirudi nyumban unywe glass ya kwanza ya maji, ya pili usimeze yaache maji mdomoni. Nilikuwa namuona kama anachekesha kama kawaida yake ila sasahiv ndio namuelewa barabaraa😁😁
Wifi mkorofi?Mtaani kulikuwa na mzee mmoja mcheshi sana, alikuwa anasema kuishi na mwanamke inabidi ukirudi nyumban unywe glass ya kwanza ya maji, ya pili usimeze yaache maji mdomoni. Nilikuwa namuona kama anachekesha kama kawaida yake ila sasahiv ndio namuelewa barabaraa😁😁