MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Hata kwa buku 20 tu unaweza kununua mzigo safi wa papo kwa papo. Haya jichanganye ukatongoze sasa, utapewa kalenda ya zaidi ya wiki au mwezi huku ukitangulizwa kudaiwa hela ya kusuka, kodi ya nyumba, umeme na maji, simu, nguo za bei, mama mgonjwa, nauli, nk,nk. Unaweza kupoteza laki kadhaa na mzigo hujui utapata lini. Kwa hiyo Wacha tu wanaume wengi watumie shortcutWauza nyau wanatulemazaView attachment 3696236
Huyo siyo wako, mna act tuu.hii kwangu ni mwaka mmoja hatujatafutana.
Acha ufala wewe tako skonsi...nipo hapa tanga nala mkate wa kumimina na samaki plus chai ya kuungwa...nimeambiwa mkate wakumimina ni dawa ya virusi