Ahahaaa...! Acha masihara Numb. Kwamba jamaa mwenye nyumba,anapenda kuishi Tz,ila shida ni moja tu kwake sheria ya mirungi Tz? Akaamua kufanya kitu wonders,mguu mmoja kenya,mguu ingine Tz. Duuuh...! Ameua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu anaeomba hatamaliza sio? Atapitia tu,atapata furaha (raha) ya alichokitaka,then anasepa? Anachokililia huyo dogo anacho mane eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo anacho Mane
Kwanza haondoki nacho
Halafu wanapata raha wote
Kwa hiyo wasinyimane
Au ww hauna hisia? ☆Happy☆ ♡Valentine's♡ ☆Day☆

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…