Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

I bet kuna wanaume watatamani kuwa mkonga wa Tembo...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ila huyi Tembo anajua utalii aseeh.....!!!

Dada nae anauthubutu....

Hata kumpanda mgongoni sithuhutu, sembuse nipakatwe na mkonga wake tuu....๐Ÿคช๐Ÿคช๐Ÿคช๐Ÿคช

Kuna watu walisema, waacheni wanyama waishi maisha yao.....๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Nitamtafuta tajiri aweke utalii kama huo...
wadada wakitanzania wabebwe kwenye mkonga wa tembo.... ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
315cd79bcc474e17222ac99bbae076b1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom