Vituko mitandaoni. Tupia chako
IMG-20171209-WA0009.jpg
 
Ukiacha simu unlocked au locked na password inajulikana wife akiikamata kama anamawivu tegemea kukuta vitu vya namna hii...
I'm sure hio kitu amepost mke wa huyo jamaa
Yaaa mkuu, ata mimi ckujua kumbe waifu anachat na mchepuko, nilikoma. Cku iz nabadilisha password kila siku
 
Back
Top Bottom