Mkuu inaonekana una bifu na gwantwa maana sio bure unatupia vituko vyake tu
Amenichekesha sana huyu mwanamamaMkuu inaonekana una bifu na gwantwa maana sio bure unatupia vituko vyake tu
Hahahaha daaah!!!!eti viuma vimekaza nani akulainishiye[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha yan huyu yaelekea ni mswahili hatari,sasa na huu uandishi ni kiboko[emoji23][emoji23]yan nimecheka mpaka machozi
Ucnfanye nikamsake fbYani nikimuangaliaga simmalizi nabaki kucheka[emoji23]
Mbona umepotea? Leo tunaenda water festival.Eti nandiView attachment 744904
Hii NI special Gomba.Eti nandiView attachment 744904
Hiyo hata akikanyaga msumari hauingii