Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Nchi zingine za ajabu sana hivi mnawezaje kujenga sanamu la hivyo?!![]()
Sent from my Huawei mate 9
Si kuhamasisha ushoga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi zingine za ajabu sana hivi mnawezaje kujenga sanamu la hivyo?!![]()
Sent from my Huawei mate 9
Hivi sanamu nyingi zina zaidi ya miaka 200 mfano zilizoko Italy, Greece na sehemu nyingine duniani.Nchi zingine za ajabu sana hivi mnawezaje kujenga sanamu la hivyo?!
Si kuhamasisha ushoga!
Nashukuru sana, sitakosa uzi wangu mpendwa kuanzia sasa. Big up mdogo wangu. Vipi mvua nasikia watu hawatoki?
Haka kageto mboni kama kale walikokuwa wamelala kina Nandy na Billnass siku ile.