Paradisehome
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 145
- 143
Sasa huyu anasomja ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu anasomja ?
Hahahahaha sio kwa loki hizi mkuu sasa kwa mfano ndio umekuja kuiba ukasema kila lok moja uvunje kwa dakika moja nusubsaa nzima utakua unavunja alaf ndan kuna extra lokCHAMA KIMEPATA MWENYEWE.TUTAKOMAView attachment 604298
HILO DUKA KIBOKOHahahahaha sio kwa loki hizi mkuu sasa kwa mfano ndio umekuja kuiba ukasema kila lok moja uvunje kwa dakika moja nusubsaa nzima utakua unavunja alaf ndan kuna extra lok
Wanaume sisi wepesi tukiona izi vitu tunadindisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa makomeo hayoCHAMA KIMEPATA MWENYEWE.TUTAKOMAView attachment 604298
Kwa haya makomea unaweza hata kupoteza wateja! nani atasubiri mpaka umefungua makomeo yote hayo naenda duka jingine......Sio kwa makomeo hayo
Hapo tumeshaelewa kuwa kunaweza kuwa na plate namba kibao hasa kwa watu wasiojulikana. Duh!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duniani kuna vituko. Mwenzenu mbavu sina tena.