Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kazini mkuu mida ya kulala hii[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji35][emoji34][emoji34][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakaribia kuwa mchungaji
mpiga picha ya huyo mtoto na huyo tai alipata tuzo kwa picha yake ila alifanya tukio la ajabu maana aliacha kumsaidia mtoto na akawa anatege muda ili apate picha nzuri
Out of topic, Shem, Demis yuko fine????
[emoji15][emoji848][emoji87][emoji2][emoji2][emoji2]vichefuchefu kama kawa mpaka nimeweka oda ya ndimu na udongo... Halafu kawa mvivu hata kuingia JF... ILA yuko salama na kitambi katika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Out of topic, Shem, Demis yuko fine????