Vituko mitandaoni. Tupia chako
.
IMG-20181126-WA0002.jpeg
 
Huyu alishaga vimbiwa siku nyingi toka apate ubunge kwa hisani ya ugomvi wa Lowasa na Selelii imekuwa shida na JK akamuokoa kwa kuigawa Nzega maana alijua huyu mtoto wa mama kwa Bashe hatoboi.Sasa kaishiwa ameanza siasa za vijiweni mpaka 2020atakuwa anafanya siasa za makalioni maana hana jipya.Halafu ndio awe rais wetu!?Dah wabongo...!!!ujinga wetu ndio mauti yetu
 
Back
Top Bottom