Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,741
Naona kama anakaribia kuhitimu kozi ya mipashoHuyu alishaga vimbiwa siku nyingi toka apate ubunge kwa hisani ya ugomvi wa Lowasa na Selelii imekuwa shida na JK akamuokoa kwa kuigawa Nzega maana alijua huyu mtoto wa mama kwa Bashe hatoboi.Sasa kaishiwa ameanza siasa za vijiweni mpaka 2020atakuwa anafanya siasa za makalioni maana hana jipya.Halafu ndio awe rais wetu!?Dah wabongo...!!!ujinga wetu ndio mauti yetu