Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napima.. View attachment 974117
😂😂😂 eti cumming,( kwa watasha tu)
Kama ile ya johnny sins, wadada wakawa wanauliza ni nani huyo jamaa akajibu ni maths teacher 😆😆😆Huyo jamaa ni pornstar
Mapumziko 😂😂Guess the subject View attachment 971094
Wasije huku dar, wabaki mbeya tu😆😆😆God forbid...! [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Numbisa huyu jamaa anomba umcheki ana zawadi yako ya mwaka Mpya!😀😀Hivi JF haina kabisa utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu kama Numbisa?Make mambo wanayofanya ndo yanaifanya jf izidi kun'gara na kujizolea MB za kutosha.
Cheka na Numbisa kweli hakika inaniondolea stress hata vyuma kukaza uwa nasahau kwa muda.
Hongera sana dear hilo chimbo lako ni balaa
Naunga mkono hojaHivi JF haina kabisa utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu kama Numbisa?Make mambo wanayofanya ndo yanaifanya jf izidi kun'gara na kujizolea MB za kutosha.
Cheka na Numbisa kweli hakika inaniondolea stress hata vyuma kukaza uwa nasahau kwa muda.
Hongera sana dear hilo chimbo lako ni balaa