Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Shukran sana mkuu kwa kutoa stress kwa cheka na Numbisa. Karibu sana.
Hivi JF haina kabisa utaratibu wa kutoa zawadi kwa watu kama Numbisa?Make mambo wanayofanya ndo yanaifanya jf izidi kun'gara na kujizolea MB za kutosha.
Cheka na Numbisa kweli hakika inaniondolea stress hata vyuma kukaza uwa nasahau kwa muda.
Hongera sana dear hilo chimbo lako ni balaa