Vituko mitandaoni. Tupia chako
47694581_1077937445722589_9043682043609821298_n.jpg
 
Hahahaha aiseee mbona zitaibuka shutuma za kila aina. Asijitokeze mtu siku hizi hamna uaminifu huo.
Nashukuru kwa kuwapa tabasamu mwanana
Pamoja!! Siku akijitokeza anayekusanya zawadi kwaajili yako lazima nichangie!! Huwa unaniongezea sana siku za kuishi! Keep it up best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom