Vituko mitandaoni. Tupia chako
Poa mkuu maana hali imezidi,udhalilishaji kila kona.
Sivyo unavyofikiria ila jamaa mawazo yake yalifika mbali sana ndicho kilichonichekesha maana comment yake niliipita (sikuielewa),baada ya wewe kulalamika ndipo nikarudi nione kilichomaanishwa[emoji55] [emoji55]

Ila sorry kwa kukukwaza dada yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kizungu kigumu
50230789_354655081792781_7544821430718504806_n.jpg
 
Back
Top Bottom