Vituko mitandaoni. Tupia chako
Netanyahu mtu mbaya sana inabidi nimsome jamaa ili nimjue zaidi akili zake zikoje

Asee sio poa kabisa
Ukitaka kumjua zaidi pengine anzia kwa mdogo wake komandoo Yoni Natanyahu aliyeuawa Entebbe Uganda kwa kupigwa risasi ya mgongoni wakati akiongoza harakati za makondoo wa Israeli walipokuja kuwaokoa watu wao waliokuwa wametekwa katika ndege iliyolazimishwa kutua Uganda...

Anaipenda Israel na ana msimamo usiotetereka. Ni kupeleka moto tu non stop yaani!
 
Body count,,,,,


1727616147586.jpg
 
Back
Top Bottom