Vituko mitandaoni. Tupia chako
34b3c73e-f356-459c-8337-42602dd85458.jpeg
 

View: https://youtube.com/shorts/kJpVw3kVZ3o?si=jGkfQq3ASwmrTVe5

Dancing is an art...

Namna mwanamke anacheza mziki, inaweza kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume.

Safari moja niko zangu mziki sina hili wala lile mie nacheza zangu kumbe kuna jamaa ananiangalia na kunipigia mahesabu....

Sikumuelewa nikaondoka zangu kulala.
 
Back
Top Bottom